Kijana Meshack Salum aliyeishi maisha ya ajabu ameendelea kusimulia maisha yake ambayo yamejawa na visa vya kutisha na kuhuzunisha. Katika mahojiano na Dar24.com Meshack amesema ameshawahi kutengeneza hadi Mamba wa ajabu aliyekuwa akimeza watu baharini ili kutengeneza biashara ya wavuvi iende vizuri kutokana na nguvu za ajabu alizokuwa nazo tagu alipokuwa mtoto.

Kwa sasa kijana Meshack amebadilika hivyo ameamua kusimulia haya ili kuifahamisha jamii mambo makubwa ambayo yanafanyika kutokana na nguvu za ajabu. Bofya hapa kufuatilia Mkasa huu wa kweli wa kijana aliyeishi maisha ya ajabu

Video: Kijana aliyeishi maisha ya ajabu – Season 1. epsisode 1.

Facebook yapigwa faini ya Matrilioni kwa kufanya udanganyifu
Shamte ‘Hatihati’ City VS Toto Africans