Kikwete atetea upinzani, asema wanasiasa wa upinzania wasichukuliwe na Serikali kuwa ni maadui, Mkojo ulivyomponza Manji mahakamani, Kishindo ripoti mpya ya ‘makinikia’ ya almasi, Mkemia Mkuu alivyojifungia ofisini saa 5…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 26, 2017. Tazama video

Korea Kaskazini yafyatua makombora mengine, Marekani yapuuza
Mahakama nchini Kenya yaitunishia misuli Serikali