Kimewaka tena Kibiti, Katika tukio hilo Polisi wamefanikiwa kupata silaha mbili aina ya SMG na Shotgun moja pamoja na risasi tisa za SMG zilizokuwa kwenye Magazini, Jaji wa Escrow ajiuzulu, ni jaji wa pili kung’oka waliopata mgawo, Rais Dkt. Magufuli abariki, Waziri wa JK afunguka siri upigaji wa madini…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Julai 7, 2017. Tazama video hapa

Trump uso kwa uso na Putin Ujerumani, kushona majeraha ya nchi zao
Magazeti ya Tanzania leo Julai 7, 2017