Kinana, Nape kung’oka CCM, Joto la Magufuli latua na Lowassa asema mikutano ya ndani mitamu, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Desemba 6, 2016, Ungana na Dar24 Magazeti  kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Msimamo wa Maalim Seif kuhusu mpango wa kuihama CUF wawekwa wazi
Lowassa ashukuru Marufuku ya Rais Magufuli, adai ni ‘tamu zaidi’