Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ally Hassan Mwinyi amesema kuwa kuna haja kubwa ya kuiendeleza Lugha ya Kiswahili.

Ameyasema hayo jijini Dar es salaam alipokuwa katika hafla ya kutoa tuzo kwa watunzi mbalimbali wa mashairi iliyoandaliwa na Meya wa Jiji la Dar es salaam Isaya Mwita.

Amempongeza rais Dkt. Magufuli kwa kuendelea kutumia lugha ya kiswahili katika hotuba zake mbalimbali za kitaifa na kimataifa.

 

Habari kubwa katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 3, 2018
Video: Naishukuru Chadema, Kalanga na hatuna ugomvi na Polisi- Fredy Lowassa