Leo Juni 20 2016 kimezinduliwa kitabu kinachoitwa  ‘MAJIPU YA NCHI YETU: TUSHIRIKIANE KUYATUMBUA’, Alizungumza na waandishi wa habri katika uzinduzi huo mwenyekiti wa Taifa wa kampeni ya vitabu na midahalo(KVM), Amos Siyantemi ambaye pia ni mwandishi wa kitabu hicho ameyataja maudhui ya kitabu hicho kuwa ni ->>>kuchochea moyo wa uzalendo na uwajibikaji kwa watendaji, viongozi na wananchi kwa ujumla.

“Tusiwape nafasi wachochezi na badala yake kila Mtanzania afanye kazi kwa bidii” – Amos Siyantemi

Video: Jeshi la Wananchi Tanzania limekanusha taarifa za kuibwa kwa kifaru
Tanzania Kushiriki Miaka 65 ya Karate 2018,Naha City-Japan