Kiwewe kipya migodi Acacia, ni baada ya JPM kuonya kuwa ataitaifisha yote, Polisi wahaha na Lissu mchana kutwa, ni baada ya kumshikilia mahabusu, kwenda kwake kupekua, kwenada ofisi ya Mkemia Mkuu kumpima, Rais Magufuli amkaanga mbunge wa Chadema Kigoma…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Julai 22, 2017. Tazama video hapa

Muuguzi kizimbani kwa kumbaka mgonjwa ‘usingizini’
Magazeti ya Tanzania leo Julai 22, 2017