Kuna watu wanataka kuniua – Maalim Seif, Mgomo wa Mawakili pasua kichwa, uchunguzi wa awali waonyesha aina ya bomu lililotumika kulipua ofisi za kina Fatma Karume, JPM ataja kashfa tano anazotaka Takukuru izishughulikie, Polisi yakiri sare kutumika ulipuaji…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 29, 2017. Tazama video

Wright amshambulia Wenger, amtaka aondoke
Korea Kaskazini yaianzishia chokochoko Japan