Mhadhiri wa chuo kikuu cha mzumbe Prof. Prosper Ngowi ambaye pia ni mtaalamu wa uchumi ameelezea hali ya uchumi inavyoendelea hapa nchini.

Ngowi amesema kuwa mjadala mpana kwenye suala la kukua kwa uchumi kwa sasa si uchumi kukua tu bali ni uchumi kukua na kupunguza umaskini, na kutoa ajira kwa Watanzania.

Wakati akifanya mazungumzo na dar24.com Prof. Ngowi amesema kwasasa hivi uchumi wa Taifa unakua lakini haupunguzi umaskini kwasababu sekta zinazokuwa siyo zile ambazo maskini wengi wapo, na sababu nyingine nyingi ambazo Prof. Ngowi amezielezea hapa katika video. Bofya hapa chini kutazama video

African Lyon Kuwakaribisha Toto Africans Uwanja Wa Uhuru
Idadi ya wasomi Kilimanjaro yapungua, wanafunzi 230 ni wajawazito

Comments

comments