Lema aanza kuuona moshi mweupe, Mabaki ya Faru John utata mtupu, Mfanyabiashara Manji kuburuzwa Kortini… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Desemba 21, 2016, Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Busara za Jaji zampa Lema mlango wa kutoka Mahabusu
Polisi wamtia mbaroni tapeli sugu Dar, aliwaliza viongozi wa dini, vigogo Serikalini