Lema azidi kunasa, Serikali yakata mikopo wanaosoma ng’ambo, Mapya yaibuka nyoka wa maajabu… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Desemba 29, 2016, Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Jeshi la zimamoto kigamboni latoa mafunzo kwa taasisi mbalimbali
Wingu zito lazidi kutanda sakata la Faru john