Lissu, Wasonga nusura wazichape kortini, ni katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma, ‘Kama si busara za Mawakili wengine waliokuwa wamefurika… huenda hali ingekuwa tofauti’, JPM aanza mageuzi kwa sekta ya elimu, yamwaga vifaa vya maabara Sekondari nchi nzima, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu atumbuliwa…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Machi 16, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Uwanja Uliolalamikiwa Na Jose Mourinho Wapigwa Kufuli
Yanga Kuifuata Zanaco Bila Ngoma, Tambwe