Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dk Hellen Kijo Bisimba amesema Katiba Mpya ni moja kati ya ajenda tatu za kituo hicho hivyo hawatanyamaza bali wataendelea kuhamasisha mpaka pale mchakato wa Katiba mpya utapoendelezwa.

Hata hivyo timu hiyo imependekeza njia mbalimbali zitakazoweza kufanikisha Katiba Mpya ni pamoja na kuendelea na mchakato kuanzia pale ulipoishia, kwa wananchi kupigia kura Katiba inayopendekezwa.

Bonyeza Kitufe chekundu hapo chini kusikiliza hoja za Bisimba juu ya muendelezo na mchakato wa katiba mpya.

Majuto asimulia jinsi India ilivyonusuru maisha yake
Watumia simu watakiwa kuchukua tahadhari zifuatazo