Lissu alivyoponea tundu la sindano, afanyiwa upasuaji kumtoa risasi tano tumboni na miguuni, Mawaziri wang’oka, Tukienda kwa utaratibu huu, nchi itasimama imara, tunaibiwa mno, Wazazi wanusa utata kifo mtekaji watoto…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 8, 2017. Tazama video

LIVE: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Septemba 8, 2017
Macron: Ulaya inahitaji mijadala, vinginevyo itakufa