Lissu aomba msaada CCM, Aliyenusurika bomu afa ajali ya Lucky, Ilikuwa amalize shule mwaka jana, Alisaidiwa matibabu na Dkt. Gharib Bilal, Baba asimulia mtoto wake akikata roho, Mambo saba yatakayozuia hotuba ya Lema Bungeni, Amshikilia ‘aliyefufuka’ akidai rambirambi yake…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 8, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojiri kwenye magazeti ya Tanzania. Bofya hapa kutazama

?LIVE: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Mei 8, 2017
Magazeti ya Tanzania leo Mei 8, 2017