Lissu ataja wanaomtibia Ubelgiji, IGP ashtakiwa mahakamani mwanafunzi aliyetoweka UDSM, apewa wito wa kufika kortini pamoja na DCI na AG, Mwanasheria wa Nondo afungua kesi kuomba mambo matatu, Benki ya Dunia yaipa Tanzania shilingi bilioni 660/=…Bofya kutazama habari zote zilizopewa uzito katika magazeti ya Tanzania leo Machi 21, 2018.

JPM amtumbua Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi NHC, avunja bodi ya shirika hilo
Dkt. Mwakyembe akerwa na Diamond, sasa kula naye sahani moja