Lissu atinga kortini kumtetea Wema, apinga ushahidi wa bangi, aitaka mahakama kutopokea kielelezo cha vichungi, Msako wa fedha za Ecsrow Ulaya balaa, TAKUKURU yaeleza ilivyotuma watu kuzinasa, zimo zile zilizosombwa kwa rambo na viroba, Mabosi wa jiji Mbeya kortini…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 16, 2017. Tazama video

Mbowe azidi kuweweseka na madiwani waliohama chama
Lissu aitunishia misuli mahakama, asema vishungi sio bangi