Lissu atoa neno baada ya kuzinduka, Polisi yamtaka dereva wake ajisalimishe mwenyewe, yakamata Nissan nane, tukio laacha maswali magumu, Serikali yataifisha almasi ya mabilioni, Maghorofa mawili ya Lugumi yakosa mnunuzi…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 10, 2017. Tazama video

Lissu anena baada kupata fahamu
Magazeti ya Tanzania leo Septemba 10, 2017