Majaliwa amaliza ‘utata’ baa la njaa, asisitiza nchi haijakumbwa na njaa, akemea uzushi wenye lengo la kupandisha bei za vyakula, Lowasa akamatwa, ashikiliwa Polisi, Mabomu yarindima… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Januari 17, 2017, Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Mwijage atoa neno Tantrade kuhusu kasi ya viwanda
Familia Yamzuia Van Gaal Kwenda China