Lowassa alonga miaka miwili ndani ya upinzani, ataka Rais Dkt. Magufuli naungwe mkono kwa mazuri anayofanya, Makanikia yaivuruga Acacia, yaporomoka kwa asilimia 42 soko la London, Barrick asilimia 5 Toronto, Majaliwa azicharukia taasisi za vyuo vikuu…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Julai 27, 2017. Tazama video hapa

ACACIA yalipa mil.460 za ushuru, yanena mazito kuhusu makinikia
Mwanafunzi akamatwa kwa kumkashifu Rais kwenye Facebook