Lowassa apewa saa 168, Mtikisiko Acacia, kigogo wake akamatwa, Balozi Mwapachu ajiuzulu ujumbe wa bodi, Upinzani katika tanuru la moto, wachambuzi wasema wanapita kwenye misukosuko, Keko yawanukia vigogo 12 NSSF…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Julai 14, 2017. Tazama video hapa

Shibuda amuomba Rais Magufuli awasamehe waliopata gawio la pesa ya Escrow
Jaji Mutungi awanyooshea kidole Chadema, CUF