Lowassa, Ndesamburo watajwa kufutwa uchaguzi CCM Moshi, Familia ya Lissu yateta na Spika wa Bunge, Nassari, Lema waitupia zigo Takukuru, Babu wa miaka 60 afariki akiongezewa nguvu za kiume kwa mganga wa kienyeji…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 3, 2017. Tazama video

LIVE JNICC: Rais Magufuli akifungua Mkutano Mkuu wa 33 wa ALAT
Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 3, 2017