Lowassa, Warioba waibuka vita ya dawa za kulevya, Bosi Polisi alivyouawa akiwavaa majambaza Wanafunzi 8, 430 vyuo vikuu hawana sifa, waliopo mwaka wa mwisho pia waguswa… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Februari 23, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Alikiba na Yvone Chakachaka ndani ya studio moja kufanya rekodi
Ndalichako ageukia ada shule binafsi