Lukuvi amtikisa Makonda, azuia ekari 1,500 alizopewa na mfanyabiashara wa kiasia, Jaji amshukia mwendesha mashtaka kesi ya Lema, ataka ofisi ya DPP iwe makini, iache kunajisi sheria na itende haki, Viroba mwisho leo…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Februari 28, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Chadema yaweka ulinzi mkali nyumba ya mama Wema
Ridhiwani aanika uhusiano wa JK na Lowassa, JK alichomwambia alipoiona picha yao