Tatizo la uzazi limekuwa kubwa sana hapa duniani hali inayopelekea ndoa nyingi kuvunjika kutokana na suala la kukosa watoto, watu wengi hungaika huku na huku kutafuta mtoto bila mafanikio yeyote na wengi wao huishia kukata tamaa ya kupata mtoto kutokana na umri kuwa umeenda.

Kwa miaka mingi wataalamu wengi wa afya ya uzazi bado wanaamini kuwa umri sahihi kwa mwanamke kushika mimba na kuzaa ni kuanzia miaka 20-35.

Japo kwa mujibu wa tafiti iliyochapishwa kwenye jarida la magonjwa ya uzazi uliofanywa na watafiti kutoka Taasisi ya kirolinska ya nchini Sweden umegundua kwamba katika nchi tajiri duniani wanawake huzaa wakiwa na umri mkubwa kitu kinachopelekea kuongezeka kwa hatari ya kuzaa watoto wafu.

Tazama rekodi hii iliyovunjwa na vikongwe hawa walifanikiwa kujifungua uzeeni.

Ali Kiba afuta video ya wimbo wake mpya 'Hela', kisa...
Nafasi za ajira kutoka makampuni 10 Tanzania