Maalim Seif amkingia kifua JPM, UVCCM yasema hajakosea uteuzi wa Mghwira, Zitto atuliza wanachama ACT-Wazalendo, JK aibuka, asema kuongoza nchi ni mzigo mzito, amtia moyo JPM kuchapa kazi, Mwili wa Ndesamburo kuzungushwa mji wa Moshi…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Juni 5, 2017.

 

?Live: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Juni 5, 2017
Islamic State wakiri kuhusika shambulio la kigaidi nchini Uingereza