Maalim Seif amshtaki Lipumba kwa Gwajima, Nape na Kitwanga waja juu, ni katika mjadala wa bajeti ya maji Bungeni, Bashite aibuliwa tena Dodoma, Waziri Kabudi afafanua cheti chake, Polisi yadaka mwanafunzi akiuza bastola, risasi 13…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 11, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojiri kwenye magazeti ya Tanzania. Bofya hapa kutazama

Bofya hapa kutazama ?LIVE: Yanayojiri Bungeni leo Mei 11, 2017

Tanzania, Afrika Kusini kuimarisha ushirikiano sekta ya uchukuzi
Magazeti ya Tanzania leo Mei 11, 2017