Habari Video: Magazeti Leo 09-Jun-2016 8 years ago Yafahamu yaliyoshika Headlines katika magazeti ya TZ leo ambapo stori nyingi ni kuhusu bajeti kuu ya Serikali iliyosomwa Bungeni jana na waziri Mpango. Hivi hapa ni kati ya yaliyomo – “Bajeti ya JPM pasua kichwa”, Hapa kodi Tu”, “maumivu” – Magazeti Kigoma yaongoza kwa umasikini, Serikali yataja Mikoa Mitano Maskini zaidi Warabu Kuchezesha Young Africans Vs Mouloudia Olympique Bejaia