Habari Video: Magazeti Leo Juni 10 – 2016 8 years ago Leo Juni 10-2016 bado stori kubwa katika magazeti ni kuhusu bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Hizi hapa headlines katika Magazeti ya leo unazewa kutazama.“Vilio vitano vya bajeti“- Nipashe Ukawa wamjibu Naibu Spika, ‘Posho akawatishie watoto’ Cristiano Ronaldo avunja rekodi ya Utajiri, akalia kiti cha Mayweather