Magufuli aacha vumbi, Makonda ajitoa mhanga dawa za kulavya, Wema , TID, Chid Benz waitwa kuhojiwa Polisi, Mbowe Dk. Tulia waingia ‘bifu’ jipya… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Februari 3, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Chris Kika kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Trump aendelea kupingwa na wanaharakati Marekani
Yaya Toure Asajiliwa Ligi Ya Mabingwa Ulaya