Magufuli ageukia waliofoji umri, ni baada ya kufukuza kazi watumishi wenye vyeti feki 10,000, Mwenyekiti CCM ashangaa kutajwa vyeti feki wakati hakupitia sekondari, Lema amjia juu Polepole kwa kauli yake, Vyeti feki vyaua, wengine waugua ghafla, kizaazaa maofisini leo…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 2, 2017.

Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojiri kwenye magazeti ya Tanzania.

Bofya hapa kutazama

Tazama hapa yanayojiri Bungeni Dodoma moja kwa moja muda huu

?LIVE: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Mei 2, 2017
Magazeti ya Tanzania leo Mei 2, 2017