Magufuli aibuka na Lissu, awamulika viongozi wanaofanya safari za Ulaya, Mshtuko vyuo vikuu, TCU yazuia 19 kufanya udahili wa wanafunzi wapya wa mwaka huu, Waziri anasa anga za JPM, aonywa yaliyomkuta Kitwanga, Nape,  Muhongo, Lowassa atikiswa nyumbani…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Julai 26, 2017. Tazama video hapa

Justin Bieber kuanzisha kanisa lake, aahirisha ziara kuvuta upako
Marekani kuweka vikwazo dhidi ya maadui zake