Magufuli atishia kumtumbua Waziri, Asema machinga wasisumbuliwe, Mama Salma pasua kichwa, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Desemba 7, 2016, Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE