Magufuli, Kikwete wazidiana kete, JPM asifiwa kwa ujasiri wa kupambana na rushwa, lakini aingia dosari katika masuala ya demokrasia, Kigogo Acacia anaswa ‘kininja’ Airport, alikuwa akijiandaa kwenda mamtoni, ghafla akadakwa juju kwa juu, Majambazi wasakwa pori kwa pori…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Julai 29, 2017. Tazama video hapa

Video: Yanga wammulika Niyonzima, Watakachoifanya Simba msimu ujao
Marekani yamteua Kafulila Kushiriki Mjadala wa vita dhidi ya Ufisadi