Katika vichwa vya magazeti ya hapa Tanzania kuna hii story ya Mahakama maalum ya mafisadi kuanza leo, Unaweza kupitia Headlines zote hapa

“Mahakama Maalumu ya kushughulikia Makosa ya Rushwa na Ufisadi, inaanza rasmi leo Julai mosi.

Pamoja na kuanza kwa mahakama hiyo, serikali imeanza mchakato kuifanyia marekebisho Sheria Namba 11 ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini ya Mwaka 2007 ili kuongeza ukubwa wa adhabu zinazotolewa sasa.

Mahakama hiyo iliyoahidiwa na Rais John Magufuli wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 na imo katika Ilani ya Uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi, itaimarisha zaidi taasisi za uwajibikaji zinazohusika na mapambano dhidi ya rushwa” – Gazeti Habarileo

Serengeti Boys Wapo Tayari Kwa Pambano La Kesho
Video: Waislam kuadhimisha siku ya 'QUDS' leo