Maiti iliyozikwa Mbeya yakutwa nyumbani, jiji lakumbwa na taharuki siku mbili mfululizo, Mbowe ataja kinachowaliza, Mawazili kupanguliwa… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Januari 18, 2017, Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Vanessa Mdee apata shavu kuigiza Tamthilia
Baraka The Prince atamba, karibuni kuitwa baba