Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amepokea msaada wa gari ambayo itakuwa inasaidia katika shughuli mbalimbali za Serikali.

Amepata msaada huo mapema hii leo jijini Dar es salaam kutokwa kwa Kampuni ya utengenezaji magari ya GWM na kifaru kutoka China.

Hata hivyo, Makonda amesema kuwa gari hilo halitaligawa mpaka pale wananchi watakapoamua lipelekwe katika idara gani.

”Nawaasa wananchi wa mkoa wangu washiriki katika zoezi la kupiga simu na kutoa maoni yao ni wapi wangependa gari hili lipelekwe,”amesema Makonda

Pacquiao ataka WBO kuyachunguza matokeo ya pambano lake na Horn
Video: Majaliwa ataka Baraza la Michezo Tanzania lichunguzwe, ampa agizo Mwakyembe