Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema miongoni mwa wagonjwa waliokutwa na virusi vya Covid 19 ni mtoto wa Mwenyeki wa Chadema, Freeman Mbowe.

Amebainisha hayo leo Machi 24 alipotambelea kituo cha mabasi yanayotoka mikoani na nje ya nchi Ubungo Terminal kuangalia hatua walizochukua kukinga maambukizi ya virusi vya corona…, Bofya hapa kutazama.

Mtangazaji maarufu Zimbabwe afariki kwa Corona
Watu wengine 9 wagundulika na Corona Kenya

Comments

comments