Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda, ametoa msaada wa milioni kumi kwa wanachama wa chama cha wajane alipokutana na wajane wa Dar es salaam jana ili kusikiliza changamoto zinazo wakabili.

amesema kuwa pesa hiyo ni sadaka yake ambayo anapenda itumike kukarabati ofisi ya wajane, na anampango wa kujenga makao makuu ya chama cha wajane Tanzania.

Fahamu visababishi vikubwa vya mshtuko wa moyo, kiharusi
Mlipuko wa moto waitetemesha Korea kusini