Makonda atokwa machozi Kanisani, asema yupo katika vita nyingine ya ulimwengu wa roho, JPM ampa mgodi Dangote, Gwajima azindua operesheni mpya, Magufuli aipa siku 7 Wizara ya Nishati…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Machi 6, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

FBI yapinga madai ya Trump kuhusu Obama
Magazeti ya Tanzania leo Machi 6, 2017