Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema anapokea malalamiko kutoka kwa wafanyabiashara kati ya wenye maduka na Machinga kufuatia muingiliano ya ufanyaji biashara, pia DART wamemfikishia Makonda malalamiko kuhusu wafanyabiashara hao kufanya biashara katika barabara ya mwendo kasi na kupelekea kero kwa waendesha magari ya mwendo kasi. Kufuatia hayo Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam amesema haya:-

Majaliwa: Safari ya Dodoma imeiva, Awataka Watumishi Ofisi yake Kujiandaa
Young Killer atangaza ajira, unaweza kuipata ukiwa na kigezo hiki