Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul makonda amewasimamisha kazi wakuu wa Idara za Ardhi, wa Wilaya ya Ilala, Ubungo na Kinondoni kwa utendaji kazi mbovu.

Makonda amechukua uamuzi huo leo Februari 10, 2018 katika ukumbi wa Diamond Jubilee wakati akipokea mrejesho kutoka kwa wanansheria waliojitolea kuwasikiliza wananchi wenye migogoro ya ardhi.

Wakuu hao wa idara wametoa idadi ndogo ya migogoro waliyopokea kutoka kwa wananchi tofauti na uhalisia ulivyo

 

Makonda kupitia upya taaluma za wanasheria, asimamisha kesi zote
Kim Jong un amualika Rais wa Korea Kusini