Leo Agosti 16, 2016 Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amewataka wafanyabishara kufanya biashara kwa kufata maelekezo na taratibu zilizowekwa bila kufanya usumbufu wowote kwa watu wengine huku akiwataka wakazi wa Dar es salaam kutokufanya manunuzi ya vitu kiholela badala yake kufanya manunuzi kwa utaratibu.

Pia Makonda ametoa haya maelekezo kwa Wakuu wake wa Wilaya, Bofya hapa kutazama video  #USIPITWE

Polisi wawabana Original Comedy kwa kuvaa mavazi ya ‘Kipolisi’ harusini
Video: Makonda apokea Milioni 31.7 za Madawati DSM