Makonda, Gwajima waanza vita upya, Serikali yawatoa hofu Wazanzibar, JPM, Dkt. Shein wakutana kujadili deni la TANESCO, Zitto ampa tano Lissu…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Machi 20, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Tony Pulis: Wenger Atasaini Mkataba Mpya
Mbowe atoa ya moyoni kuhusu Madaktari kupelekwa Kenya