Mama mmoja kutoka jijini Dar es salaam, Fatuma Said amewaomba msaada Watanzania baada ya mwanaye wa kike kujiua kwa kunywa sumu.

Ameyasema hayo jijini humo alipokuwa akizungumza na Dar24 Media, ambapo amesema kuwa mwanaye huyo alijiua kwa kunywa sumu.

“Jamani mwanangu amejiua baada ya mtu aliyezaa naye kumtelekeza, kabla ya kunywa sumu alimnywesha sumu mjukuu wangu kisha kujiua,”amesema Mama huyo.

Serikali yagoma kulipa madeni ya vyama vya ushirika
Atiwa mbaroni kwa kujifanya daktari bingwa

Comments

comments