Mkali wa Real Madrid na winga wa timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo ameisaidia timu yake ya taifa kufuzu hatua ya fainali ya michuano ya EURO 2016 baada ya kuchangia ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Wales.

Kuna haya mambo 6 yakufahamu kutoka kwa mkali huyo ambaye amezidi kuwa vizuri kiuchumi kutokana na kupokea fungu nono linalomfanya kuwa Wanasoka matajiri Duniani.

Jurgen Klopp Na Wenzake Wakubali Kubebeshwa Mzigo
Mapambano yaendelea Sudani Kusini