Mangu afunguka, Ni katika hafka ya uapishwaji IGP mya Sirro, Watu sita wachomwa mgahawani Zanzibar,  Mchanga wa dhahabu waacha vumbi bungeni, Wapinzani washambuliwa bungeni, Lukuvi asema wafanyakazi CDA wameficha viwanja 34,000…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 30, 2017.

Tazama hapa yanayojiri Bungeni Dodoma muda huu leo Mei 30, 2017

Jenerali Manuel Noriega afariki dunia
Macron, Putin wawekeana masharti kuhusu siasa