Manji akubali yaishe kwa JPM, “Ninaomba radhi binafsi kwa Rais Dkt. Magufuli na Serikali yake kwa sintofahamu yoyote iliyojitokeza wakati wa ufuatiliaji wa jambo hili”, Lowassa ataka mkakati kukabili kamatakamata, Wanasiasa wabeba zigo la kuzorota maendeleo, Lipumba amwekea mtego mwingine Maalim Seif…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Juni 25, 2017.

Maneno ya Diamond baada ya Rayvanny kunyakua tuzo ya BET
Magazeti ya Tanzania leo Juni 25, 2017