Timu ya Dar 24 media kwa kushirikiana na warembo wa Miss Ilala walioingia kwenye hatua ya Tano Bora mwaka 2018, kwa pamoja walitembelea shule mbili za sekondari za wasichana, Jangwani na Zanaki lengo likiwa kuangazia changamoto zinazowakuta watoto wa kike katika masomo yao.

Baaada ya wanafunzi na walimu wa shule za Jangwani na Zanaki kueleza changamoto wanazokutana nazo wanafunzi katika kutafuta maarifa katika shule hizo, warembo wa Miss ilala walifika katika ofisi za Dar 24 Media ambapo walipata nafasi ya kutoa maoni yao, nini kifanyike ili kuweza kutatua changamoto hizo.

Tazama video hap achini.

KCB Bank Tanzania yasaini mkataba mpya VPL
LIVE IKULU: Rais Dkt. Magufuli akigawa hati za viwanja kwa mabalozi

Comments

comments