Baraza la Vyama vya Siasa limesitisha mjadala wa mapendekezo ya marekekebisho ya sheria mpya ya vyama vya siasa.

Baraza hilo limeamua kurudisha mchakato huo katika kamati ya sheria na utawala bora ya uongozi wa baraza hilo.

Hayo yamesemwa Jijini Dar es salaam na Mwenyekiti wa Baraza hilo, John Shibuda alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ambapo amesema kuwa sasa kamati zitatakiwa kujadili marekebisho ya kanuni za usajili wa vyama vya siasa.

Video: Makamba awataka wananchi kubadilika
Video: Makonda azidi kuineemesha Dar